MSEMAJI MKUU WA SERIKALI DR. ISAAC MWAURA AZUNGUMZIA MATUKIO YALIYOJIRI HIVI KARIBUNI
Msemaji Mkuu wa Serikali Dr. Isaac Mwaura, hivi leo amenena kuhusu maswala yaliyoshuhudiwa kutokana na Maandamano ya Vijana. Kati ya Maswala aliyoyazungumzia ni ikiwemo kudumisha amani, kuwepo kwa mjadala kati…